skip to main | skip to sidebar

Adhero family

Monday, March 1, 2010

Mr. and Mrs. Adhero together with their two daughters







Posted by Kwangá Adhero at 2:03 AM 2 comments:
Home
Subscribe to: Comments (Atom)

Pages

  • WATOTO WA MZEE LANG'O

Blog Archive

About Me

Kwangá Adhero
Dar Es Salaam, Dar Es Salaam, Tanzania
Mimi naitwa Naftali Kwang’a John Adhero. Nilizaliwa siku ya Alhamisi tarehe 23 Machi, 1944 katika familia ya Mzee Yohana (John) Adhero Lang’o na mama Rebeka Ogembo Adhero, nikiwa ni mtoto wa pili kwa mama kati ya watoto kumi na mbili waliozaliwa katika familia hii – wavulana watano na wasichana watano. Nilipewa jina la Kwang’a – jina la Mzee maarufu katika ukoo wetu – likiwa na maana ya ‘nivushe’ ng’ambo ya mto au ziwa. Nilizaliwa katika kijiji cha Kowak, kata ya Nyathorogo, Tarafa ya Luo- Imbo, Wilaya ya North Mara (baadaye Tarime) na hivi karibuni Rorya. Kabila langu ni Mluo – moja ya makabila yaliyoishi kando kando ya mto Nile. Na ndiyo sababu kabila hili linaitwa Nilotic – na limetapakaa Sudan ya Kusini, Ugana ya Kaskazini, Mashariki ya Ziwa Victoria huko Kenya na Wilaya za Tarime na Rorya Mkoani Mara hapa Tanzania.
View my complete profile